Video Information
- Choir: Seniors' Choir
- Piece: TUISHANGILIE KENYA
- Conductor: Haron Onyango
- Voices: SATB
- Genres: Folk/Ethnic
-
Tuishangilie Kenya, Taifa letu tukufu,
Kenya tunayoipenda, Daima,
Kenya nchi tunayoipenda, Daima,
Kenya nchi tunayoipenda, Daima,
Tumekomboa Kenya, nchi yenye kupendeza,
tumebadili mwendo, Daima,
Tuna Kati... moreTuishangilie Kenya, Taifa letu tukufu,
Kenya tunayoipenda, Daima,
Kenya nchi tunayoipenda, Daima,
Kenya nchi tunayoipenda, Daima,
Tumekomboa Kenya, nchi yenye kupendeza,
tumebadili mwendo, Daima,
Tuna Katiba mpya, Daima,
Tuna Katiba mpya, Daima,
Anayenpenda Kenya, ni yule mwenye kutenda,
Haki kwa watu wote, Daima,
mtu mwenye kutenda haki, Daima,
mtu mwenye kutenda haki, Daima,
Wenzangu,
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele daima,×2
Na tumehapa site, wananchi wa Kenya,
kutumikia Kenya, Daima na milele,
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele daima,×2
Kenya ni mama yangu, tena ni baba yangu, sitaiacha Kenya, Daima na milele,
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele daima,×2
Sitaiacha Kenya nchi yangu, mimi ni mwanakenya Daima,
Wala sitadanganywa na wabaya, mimi ni mwanakenya Daima,
na majirani wangu nitalinda, mimi ni mwanakenya Daima,
Mimi ni mwanakenya Daima,
Wenzangu, wenzangu,
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele daima,×4
tuishangilie Kenya, Taifa letu tukufu,
Kenya tunayoipenda, Daima,
Ke less